KAKA AFUNIKA MAREKANI, NDIYE ANAYEONGOZA KWA KULIPWA FEDHA NYINGI ZAIDI LIGI KUU MAREKANI
Kiungo nyota wa klabu ya Orlando City, Ricardo Kaka raia wa Brazil, ndiye anayeongozwa kwa kulipwa fedha nyingi zaidi katika Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major League.
WANAOLIPWA ZAIDI:
Kaka (Bra), Orlando City, £5.6m
Sebastian Giovinco (Ita), Toronto, £5.5m
Michael Bradley (US), Toronto, £5.1m
Andrea Pirlo (Ita), New York City, £4.6m
David Villa (Spa), New York City, £4.4m
Giovani dos Santos (Mex), LA Galaxy, £4.3m
Bastian Schweinsteiger (Ger), Chicago Fire, £4.2m
Jozy Altidore (US), Toronto, £3.8m
Clint Dempsey (US), Seattle Sounders, £3m
Diego Valeri (Arg), Portland Timbers, £2m