DAH! NDIYO HIVYO TENA, POGBA ATAIKOSA MANCHESTER CITY


Si vibaya kusema ni habari mbaya kwa mashabiki wa Manchester United kwa kuwa kiungo wao, Paul Pogba ataikosa mechi ya wapinzani wao wakubwa Manchester City, kesho.

Kocha Mkuu wa Man United, Jose Mourinho amethibitisha kwamba mambo si mazuri.


Mourinho amesema imeshindikana kwa Pogba kupona haraka maumivu ya njama za nyuma za paja alizoumia.
Powered by Blogger.