BILA RONALDO, MADRID YASHINDA UGENINI, "YAIANGUKIA" DERPOTIVO LA CORUNA MABAO 6-2
Baada ya kipigo kutoka
kwa wapinzani wake Barcelona, Madrid imeamka tena kwenye La Liga baada
ya kuitwanga Derpotivo la Coruna kwa mabao 6-2.
Pamoja na kucheza bila ya Cristiano Ronaldo, Madrid imeiangushia Derpotivo kipigo hicho kikali ikiwa nyumbani.
James Rodrigues
amefunga mabao mawili huku Alvaro Morata, Lucas Vazquez, Isco na
Casemiro kila mmoja akitupia moja na kutengeneza ushindi huo mkubwa wa
ugenini.
Derpotivo nayo
ilijitutumua na kupata mabao mawili kupitia Florin Andone na Joselu
ingawa hayakusaidia kubadili matokeo ya kuoata pointi tatu.
Deportivo (4-2-3-1): Lux 4
(Tyton 46, 4); Juanfran 7, Arribas 5.5, Sidnei 5.5, Luisinho 5.5;
Guilherme 5, Bergantinos 6; Joselu 7, Gil 6, Emre 5.5, Kakuta 5 (Navarro
46, 5); Andone 6
Goals: Andone 35, Joselu 84
Booked: Arribas 67, Joselu 90, Colak 90+3
Real Madrid (4-1-4-1):
Casilla 5.5; Danilo 7.5, Varane 7, Nacho 7, Marcelo 7; Kovacic 8;
Vazquez 8, Isco 9.5 (Mariano 79), Rodriguez 9, Asensio 8 (Casemiro 79);
Morata 9
Goals: Morata 1, Rodriguez 14, 66, Vazquez 44, Isco 77, Casemiro 87
Booked: Isco 69
Referee: Jose Sanchez
Attendance: 26,735