WANAWAKE TARIME WALILIA VIWANDA
DIWANI WA KATA YA GANYANGE NASHINI MARWA AKIELEZA MADA ZITAKAZOONGELEWA KATIKA MDAHALO HUO. |
MH:PESTAFLORA CHACHA HAKIMU MAHAKAMA YA MWANZO SIRARI AKICHANGIA MADA KATIKA MDAHALO HUO. |
KUSHOTO NI KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME SHUKUMU TUKE OLEMORINGATA KULIA NI RACHEL KAAYA TRADE OFFICER |
MENEJA BANKI YA NBC TAWI LA TARIME. |
INONGU KIMASA MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA TARIME AKIWASILISHA MADA |
NI MDAHALO
AMBAO ULIKUWA UNAZUNGUMZIA JUU YA KAULI MBIU KATIKA MAADHIMISHOYA SIKU YA
WANAWAKE ISEMAYO TANZANIA YA VIWANDA WANAWAKE NI MSINGI WAMABADILIKO YA
KIUCHUMI.
|