MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKICHANGIA DAMU KATIKA ZOEZI ZIMALA KUCHANGIA DAMU NA KUPIMA VIRUSI VYA UKIMWI KWA HIARI NA VIPIMO VYA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE KATIKA VIWANJA VVYA SERENGETI MAARUFU SHAMBA LA BIBI MJINI TARIME.
DAMU
MAHOJIANO
WANANCHI WAKIPIMA VVU
MRATIBU WA MASUALA YA DAMU SALA KATIKA HOSPITAL YA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME JOSHUA MAKOA AKIFAFANUA MAHITAJI YA DAMU AMBAPO AMESEMA KWA SIKU ZINAHITAJIKA CHUPA SITA HADI SABA LAKINI ZINAPATIKANA MBILI MPAKA TATU HITAJI BADO NI KUBWA.
MRATIBU WA MASUALA YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA AKINA MAMA HOSPITAL YA HALMSHAURI YA MJI WA TARIME MONICA JULIUS AKIELEZA JINSI GANI AKINA MAMA WAMEPATA NA VIASHILIA VYA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI NA KUDAI ASILIMIA NI KUBWA.
MWANANCHI AKICHANGIA DAMU
MRATIBU WA MASUALA YA UKIMWI DOCTA MKUMBO ODARI AMBAPO AMESEMA KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME TAKWIMU ZIKO JUU KULINGANA NA TAKWIMU ZA TAIFA AMBAPO NI 5.1 LAKINI HALMASHAURI MAAMBUKIZI NI ASILIMIA 6 HUKU WANAWAKE WAKIONGOZA KWA MAAMBUKIZI.