MBUNGE MATIKO ATOA VIFAA KWA KIKUNDI CHA AKINA MAMA KOGETE SIKU YA MAADHIMISHO YA WANAWAKE DUNIANI.

Mbunge wa jimbo laTarime Mjini Esther Matiko wa tatu kushoto akikabidhi vifaa vya vya kisasa vya kuifadhia chakula kisipoe( serving pots /Trays) wakati wa hafla kikundi cha akina Mama UMWEKO Mtaa wa Kogete Mjini Tarime.

Akina Mama wakimpokea Mbunge Matiko



Mbunge Matiko akipokelewa na kikundi cha UMWEKO.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Kogete Aniseth Magabe akimpokea MbumgeMatiko.


Mama Tekra Jones Diwani wa viti maalumu CHADEMA kata Nyandoto akiongea na akina mama.


Wanakikundi cha UMWEKO kilichopo Mtaa wa Kogete Halmashauri ya mji wa Tarimime Mkoani Marae

Mwenyekiti wa Mtaa wa Kogete Aneseth Magabe akiongea na wanakikundi cha UMWEKO


Vifaa vilivyotolewa na Mbunge Matiko



Ni Viti Kumi vilivyotolewa na mmoja wa wanachi jina Maarufu Sonko mkazi wa Kogete kwa Kuunga juhudi za Mbunge katika kujitolea kupitia misaada mbalimbali kwa wanachi wake wakiwemo akina mama

Picha ya Pamoa kikundi cha UMWEKO kilichopo Mtaa wa Kogete mjini Tarime baada ya kukabidhiwa vifaa kutoka kwa Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko ikiwa ni moja ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani ambayoilikuwa na kauli mbiu isemayo Tanzania ya Viwanda Wanawake ni Msingi wa Maendeleo ya kiuchumi.

 


Mbunge huyo amehadi kuendelea kuwatetea huku akihaidi kuongeza vifaa vingine katika kikundi hicho ikiwa ni pamoja na kuletea  wanachi wake  maendeleo kwa kuhakikisha changamoto ya   umeme na maji zinatatuliwa katika mji wa Tarime.

Powered by Blogger.