Picha:ORODHA YA MAKTABA 10 ZENYE MVUTO ZAIDI DUNIANI

Najua kuna watu wanapenda kukaa kwenye
Maktaba kusoma machapisho, vitabu na majarida mbalimbali, wakati
Tanzania Maktaba ya kisasa inayoendelea kujengwa kwenye Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam tukiisubiri ikamilike siyo vibaya nikikupitisha duniani
kutazama Maktaba zenye mvuto zaidi.
1: Maktaba ya Dokk1 – Aarhus, Denmark

2: Maktaba ya Lawrence Public – Marekani

3: Maktaba ya Yangzhou Zhongshuge – China

4: Maktaba ya Beyazit – Uturuki

5: Maktaba ya Vennesla – Norway

6: Maktaba ya Bodø – Norway

7: Maktaba ya Chicago – Marekani

8: Maktaba ya Birmingham – Uingereza

9: Maktaba ya Halifax – Canada

10: Maktaba ya Conarte – Mexico
