PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI MKUTANO WA MBUNGE HECHE JIMBO LA TARIME VIJIJINI AKIWA NYAMONGO.
Mbunge wa jimbo la Tarime vijijini John Heche akiongea na wanachi wa Nyamongo katika Mkutano wa hadhara |
Wananchi wakinyosha mkuno kuunga hoja za Mbunge katika mkutano wa hadhara. |
Mbunge Heche akingea na wananchi wa Nyamongo. |
Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko akiongea na wakazi wa Nyamongo katika Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Mbunge mwenzake John Heche jimbo la Tarime vijijini. |
Mbunge wa jimbo la Tarime mjini Matiko akiteta jambo na Katibu wa Mbunge Mrimi Zabroni jimbo la Tarime vijijini John Heche |
Katibu akiteta na Mbunge wake |
Mbunge Heche akiwa na Mbunge mwenzake jukwaani katika mkutano wa hadhara Nyamongo Tarime vijijini. |