HALMASHAURI YA MJI WAKABIDHI HUNDI YA MFANO YA SHILINGI MILLIONI KUMI KWA VIKUNDI AKINA MAMA NA VIJANA.

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Tarime Khamis Nyanswi na Mbunge wa Jimbo la Tarime mjini Esther Matiko wakikabidhi hundi ya mfano yenye shilingi millioni Kumi kwa vikundi vya akina mama na vijana kupitaia asilimia kumi ya mapato ya Halmashauri hiyo.

Mbunge Matiko akiongea na viongozi wa vikundi kabla ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi millioni kumi

Mwenykiti wa Halmashauri ya mji wa Tarime Khamis Nyanswi akiongea na viongozi wa vikundi kabla ya kukabidhiwa Hundi.

Mfano wa Hundi iliyokabidhiwa.







Powered by Blogger.