MATIKO MBUNGE TARIME MJINI CHADEMA AFUNGUA RASMI MASHINDANO YA SAUTI HARDWARE CUP

Mbunge wa jimbo la Tarime mjini Esther Matiko akifungua rasmi Mashindano ya SAUTI HARD WARE CUP ambayo yanadhaminiwa na Diwani wa kata ya Nyamisangura Bashir Abdallah ambaye pia ni Makamu mwenyekiti Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara katika viwanja vya shamba la Bibi Maarufu Serengeti Mjini Tarime.



Mdhamini wa Mashindano ya SAUTI HARD WARE CUP Bashiri Abdallah akiongea na wachezaji baada ya kuzindua rasmi mashindano hayo

Akisalimiana na Wachezaji

Matiko akikabidhi mpira mmoja kwa Mdhamini wa Mashindano ya SAUTI HARD WARE CUP Bashiri Abdallah baada ya kuzindua rasmi mashindano hayo.


Akisalimia Wachezaji.

Akisalimia Wachezaji.


Makamu Mwenyekiti wa chma cha mpira wilaya ya Tarime Gweso Nyakisagane akiongea jambo kwa Mbunge katika Ofisi ya chama hicho.

Katibu wa TAFA akiongea mbele ya Mbunge wa jimbo la Tarime mjini alipotembelea ofisi ya chama cha Mpira wilaya ya Tarime


Victor Bambo katibu msaidizi TAFA

Mbunge akizindua SAUTI HARDWARE CUP kwa kufunga bao

Powered by Blogger.