MATIKO ATEMBELEA SHULE YA MSINGI NYAMISANGURA ATOA VIFAA VYA MICHEZO WANAFUNZI WANNE WATAKAOFANYA VIZURI NITAWASOMESHA MPKA KIDATO CHA NNE.

Mbunge wa jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko  akiongea na Wanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Nyamisangura Halmashauri ya mji wa Tarime kipindi alipotembelea shuleni hapo na kutoa mipira Miwili huku akihaidi kuwa wanafunzi wanne watakaofanya vizuri atawasomesha mpaka kidato cha Nne.


Matiko akiongea na wanafunzi.

Wanafunzi wakisikiliza Mbunge.


Mbunge akiwa na vifaa vya Michezo kulia kwake ni Diwani wa Kata ya Nyamisangura Bashiri Abdallah ni katika shule ya Msingi Nyamisangura.


Picha ya pamoja na Wanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Nyamisangura.


Wanafunzi



Diwani wa kata ya Nyamisangura Bashir Abdallah ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Tarime akiongea na Wanafunzi wa shule ya Msingi Nyamisangura.


Mbunge akikabidhi vifaa vya Michezo



Mwalimu Mkuu



Wanafunzi wakiwa na mbunge Matiko.




Powered by Blogger.