MBUNGE AWATEMBELEA WANAFUNZI MUGUMU SHULE YA MSINGI

 Mbunge wa jimbo la Serengeti Marwa Ryoba akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Mugumu A,alipotembelea shule hiyo wakati anakagua mradi wa ujenzi madarasa ya watoto wenye mahitaji maalum shuleni hapo.
 Naombeni msome sana ,shikeni elimu maana ndiyo msingi wa maisha ,mmeelewa?ndiyooooo.wanasikika wakisema.
 Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mwl Ryoba Mara akumbuka kazi yake aliyosomea mara alipowatembelea watoto wa shule ya msingi Mugumu A.
Mbunge Marwa Ryoba kulia,katikati Mwalimu Derick Misango na Robert Ng'oina mwenyekiti wa kamati ya shule  hiyo

                                HABARI KWA HISANI YA SERENGETI MEDIA CENTRE
 
Powered by Blogger.