PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI HOSPTALI YA TARIME YATUNUKIWA VYETI PAMOJA NA NGAO

MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIUS LUOGA AKIONESHA MOJA YA NGAO ILIYOTOLEWA KATIKA HOSPITARI YA TARIME KWA KUTOA HUDUMA BORA DARAJA LA KWANZA KATIKA VITENGO VIWILI, KITENGO CHA HUDUMA YA  DHARURA,UZAZI NA WATOTO WACHANGA PAMOJA NA HUDUMA YA WATOTO NJITI NA UPUNGUFU WA UZITO HOSPITALI HIYO IMEPATIWA NGAO HIZO PAMOJA NA VYETI KATI YA HOSPITAL 116 MKOA WA MARA NA ZILIZOPATA VYETI KATIKA MADARAJA TOFAUTI JUMLA NI 13 NDANI YA MKOA MZIMA WA MARA.
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME HAMIS NYANSWI WAKITAZAMA NGAO ZILIZOTLEWA KATIKA HOSPITALI YA TARIME.

AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA TARIME.


NOVATUS MUNAKU AFISA MWANADAMIZI USHIRIKISHWAJI JAMII-MCSP  MKOA WA MARA

NOVATUS MUNAKU AFISA MWANADAMIZI USHIRIKISHWAJI JAMII-MCSP MARA AKIONGEA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA TARIME NAKUSEMA KUWA HOSPITALI YA TARIME KATIKA VITENGO VIWILI IMEWEZA KUFANYA VYEMA KATIKA DARAJA LA KWANZA NDO MAANA IMEWEZA KUTUNUKIWA VYETI VIWILI PAMOJA NA NGAO MBILI KATIKA SEKTA YA
HUDUMA YA  DHARURA,UZAZI NA WATOTO WACHANGA PAMOJA NA HUDUMA YA WATOTO NJITI.
SHAIRI MBELE YA MGENI RASMI
                          KAIMU MGANGA MKUU  HALMASHAURI  YA MJI WA TARIME JOSHUA MAKOA AKITOA SHUKRANI 

MAKAMU MWENYEKI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME BASHIR ABDALAH AKIONGEA KATIKA HAFLA HIYO.


KARTIBU WA MBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI PETER MAGWI AKIONGEA KWA NIABA YA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI CHADEMA ESTHER MATIKO AMESEMA KUWA KUNA HAJA KUBWA YA KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA MBUNGE HUYO ANAZOZIFANYA KATIKA KUTETEA IDARA YA AFYA ILI KUNUSURU VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO NA JAMII KWA UJUMLA.



MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA TARIME MJINI HAMIS NYANSWI AMESEMA KUWA KUNA HAJA KUBWA YA KUENDELEA KUFANYA KAZI BILA YA KUJALI ITIKADI ZA VYAMA VYA SIASA ILI KULETEA WANACHI MAENDELEO.


KAIMU MGANGA MKUU AKISOMA KITENGO ILI KUKABIDHI VYETI HIVYO
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIKABIDHI MOJA YA CHETI KWA LUCRESIA RITTE AMBAYE NI NURSE WA WARD YA WAZAZI.







C
AKIONESHA MOJA YA NGAO
WAKIONESHA NGAO PAMOJA NA VYETI WALIVYOPOKEA
MKUU WA WILAYA AKIFUNGUA MLANGO WA GARI LA WAGONJWA MBALI NA KUKABIDHI VYETI PAMOJA NA NGAO AMEKABIDHI GARILA KUBEBA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI HIYO

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME HAMIS NYANSWI AKIWASHA GARI HILO
MAKAMU MWENYEKITI HALMASGHAURI YA MJI WA TARIME BASHIR ABDALAH AKIWASHA GARI HILO

GARI LILILOKABIDHIWA HII LEO KATIKA HOSPITALI YA TARIME

PICHA YA PAMOJA
 PICHA NA CLEO NEWSTZ UKIWA NA HABARI PAMOJA NA MATANGAZO PIGA SIMU NO 0766424928
Powered by Blogger.