PICHA KATIKA MATUKIO BODABODA 600 WAPEWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI TARIME

MKUU  WA WILAYA YA TARIME GLORIUS LUOGA AKIKABIDHI VYETI KWA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI YALIYOANDALIWA NA  MKUU WA CHUO CHA WIDE INSTITUTE OF DRIVING MAKAO MAKUU KILIMANJARO  BW FAUSTINE MATINA.
WAUNDESHA VYOMBO VYA MOTO BODABODA WAKIWA KATIKA UKUMBI WA KANGARA ANNEX WILAYANI TARIME MKOANI MARA

BODA BODA WAKIZUNGUKA MJINI KWA MAANDAMANO KABLA YA KUFUNGA RASMI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI
MKUU WA WILAYA YA TARIME AKIONGEA NA WAENDESHA VYOMBO VYA MOTO BODABODA600 WALIOPATA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ASEMA WAWE CHACHU KATIKA KUFICHUA WAHARIFU.



MKUU WA CHUO CHA WIDE INSTITUTE OF DRIVING NA MRATIBU MKUU WA MAFUNZO FAUSTINE MATINA AKIONGEA NA WAENDESHA PIKIPIKI BODABOA AZIDI KUSISITIZA SUALA ZIMA LA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI ILI KUPUNGUZA AJALI ZA LAZIMA KWA LENGO LA KUOKOA VIJANA.

MATINA AMESEMA KUWA BODABODA 600 WAMEWEZA KUPEWA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KATIKA WILAYA YA TARIME NA LENGO NI KUHAKIKISHA BODABODA WOTE NA WAENDESHA VYOM,BO VYA MOTO KUPEWA MAFUZNO WAKIWEMO WATEMBEA KWA MIGUU ILI KUPUNGUZA AJALI.




 
MWENYEKITI WA WAENDESHA PIKIPIKI BODABODA WILAYA YA TARIME MARWA RIOBA MWIHECHI AKIONGEA NA WAENDESHA BODABODA KATIKA KUFUNGA MAFUNZO HAYO AZIDI KUWAOMBA BODA BODA KUFICHUA WAHARIFU NA KUFUATA SHERIA ZOTE ZA USALAMA BARABARANI. 

MKUU WA WILAYA YA TARIME AKIKABIDHIWA ZAWADI YA KUKU KATIKA KUFUNGA MAFUNZO HAYO
MKUU WA WILAYA AKIPOKEA ZAWADI YA MASAI KUTOKA KWA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI

PICHA YA PAMOJA

PICHA ZOTE NA CLEONEWS TZ UKIWA NA HABARI PAMOJA NA MATANGAZO PIGA SIMU N0:0766424928

Powered by Blogger.