PICHA KATIKA MATUKIO CHUO CHA EAST AFRICA CHRISTIAN COLLEGE HALMASHAURI YA MJI WA TARIME WAHITIMU MWAKA WA KWANZA NGAZI YA CHETI.
KWAYA ZIKITUMBUIZA |
ELISHA SAMO (WHITE) KUTOKA WHITE BAND AKITUMBUIZA KATIKA MAHAFARI HAYO |
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA KWAYA KUTOKA JIJINI MWANZA RECHO NDALAWA AKITUMBUIZA JANA KATIKA MAHAFARI YA CHUO CHA EAST AFRICA CHRISTIAN COLLEGE. |
VITABU |
BAADHI YA WALIMU WA CHUO HICHO WAKIWA KATIKA MAHAFARI |
MAOMBI |
PASTOR CHRISTOPHER JOHN AKIOMBA KATIKA MAHAFARI HAYO |
MCHUNGAJI BONEPHACE MPONEJA AKITOA NENO LA BWANA |
KULIA NI MCHUNGAJI PETRO ANDREW KASULULU AMBAYE PIA NI MKURUGENZI WA CHUO CHA EAST AFRICA CHRISTIAN COLLEGE AKIWA NA MGENI RASMI PEDAS MASUNGWA KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI WA TARIME |
MCHUNGAJI BONEPHACE MPONEJA AKIWA NA MMOJA WA WAIMBAJI NYIMBO KATIKA MAHAFARI HAYO. |
MAOMBI YAKIENDELEA. |
MCHUNGAJI PETRO ANDREW KASULULU AMBAYE PIA NI MKURUGENZI WA CHUO CHA EAST AFRICA CHRISTIAN COLLEGE AKITOA WITOKWA WAHITIMU WA CHUO HICHO |
STEVE KROGH TRAINING HEADERS INTERNATIONAL KUTOKA U.S.A |
AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI |
MGENI RASMI KAIMU MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME PEDAS MASUNGWA AKIONGEA KATIKA MAHAFARI HAYO. |
PICHA ZOTE NA CLEONEWSTZ UKIWA NA HABARI PAMOJA NA MATANGAZO PIGA SIMU N0 0766424928