PICHA: KATIKA MATUKIO CCM KIMKOA MKOA WA MARA WAADHIMISHA MIAKA 40 YA KUZALIWA KWA CHAMA HICHO WILAYANI TARIME.


MKUU WA MKOA WA MARA DKT CHARLES MLINGWA AKIONGEA NA WAJUMBE PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI JANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAPO KIMKOA KATIKA MKOA WA MARA YAMEFANYIKA WILAYANI TARIME UKUMBI WA CMG MOTEL
AKIWASILI  MKUU WA MKOA WA MARA  KATIKATI NI MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIUS LUOGA AKIMOKEA MKUU WA MKOA


MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA KUSHOTO CHRISTOPHER SANYA AKIWA NA KATIBU WA CCM MKOA WAKIREJEA UKUMBINI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHIO YA 40 YA KUZALIWA KWA CCM


WAKUU WA WILAYA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA SERENGETI NURDI BABU AKIFUATIWA NA MKUU WA WILAYA YA BUTIAMA ANNAROSE NYAMUBI AKIFUATIWA NA MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACNA NA MWISHO NI MKUU WA WILAYA MUSOMA.
WA KWANZAKUSHOTO NI MKUU WA MKOA WA MARA DKT CHARLES MLINGWA AKIFUATIWA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA CHRISTOPHER SANYA AKIFUATIWA KATIBU WA CCM MKOA KATIIA MAADHIMISHO YA MIAKA40 YA KUZALIWA KWA CCM

WAJUMBE WAKIWEMO VIONGOZI WA SERIKLAI NA  MADIWANI KATIKA KONGAMANO HILO LA KUADHIMISHA MIAKA40 YA KUZALIWA KWA CCM

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MKOA WA MARA CHRISTOPHER SANYA AKIFUNGUA RASMI KONGAMANO LA KUADHIMISHA MIAKA 40 YA KUZALIWA KWA CHAMA HICHO JANA KATIKA UKUMBI WA CMG MOTEL HALMASHAURI YA MJI WA TARIME.


MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIUS LUOGA AKIWASILISHA MADA KATIKA KONGAMANO LA KUADHIMISHA MIAKA 40 YA KUZALIWA KWA CCM KIMKOA IMEFANYIKA WILAYANI TARIME JANA KATIKA UKUMBI WA CMG MOTEL


PICHA ZOTE NA CLEONEWSTZ UKIWA NA HABARI NA MATANGAZO PIGA SIMU N00744424928
Powered by Blogger.