WAZIRI MKUU AWATAKA WANANCHI WA HALMASHAURI YA MADABA WILAYA YA SONGEA KULINDA VYANZO VYA MAJI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa Halmashauri ya Madaba

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo ya mradi wa maji  kutoka kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya  Madaba Bwana Safi Mpenda ,Waziri Mkuu ameuzindua mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya Songea  mradi ambao unauwezo kutoa lita laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu alfu tano

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya majI Bibi Leonara Kibuno ikiwa ni ishara ya uzinduzi  wa mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya Songea  mradi ambao unauwezo kutoa lita laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu alfu tano katika Halmashauri ya Madaba Songea
Powered by Blogger.