FAIDA ZA MABOGA, NGUVU ZA KIUME ZINAHUSIKA…..!
FAIDA ZA MABOGA, NGUVU ZA KIUME ZINAHUSIKA…..!
FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA ■HUPUNGUZA MAFUTA KWENYE MISHIPA YA DAMU
■GRAMU MOJA YA MBEGU ZA MABOGA ZINA VITAMIN SAWA NA GLASS MOJA YA MAZIWA.
■MBEGU ZA MABOGA ZINAWEZA KUTIBU MAGONJWA MAKUBWA YALIYO SHINDIKANA KWA WATALAAMU KAMA MOYO NA MIFUPA KWANI MBEGU ZA MABOGA ZINA KIASI KINGI CHA (MAGNESIAM) AMBAYO NI MUHIMU KWA MAHITAJI YA MOYO PIA HUIMARISHA MIFUPA NA MISHIPA YA DAMU.
■HUSAIDIA UFANISI WA UTUMBO MKUBWA
■VITAMIN ZILIZOMO KWENYE MBEGU ZA MABOGA (MAGNESIAM) ZINA UWEZO MKUBWA WA KUZUIA UGONJWA WA KIHARUSI PAMOJA NA MSHITUKO WA MOYO.
■MBEGU ZA MABOGA ZINA KIWANGO KUKUBWA CHA MAFUTA HUWEZA KUTUMIKA KAMA DAWA YA KUTIBU SARATANI YA KIBOFU.
■MBEGU ZA MABOGA ZINA KINGA KUBWA KUPAMBANA NA MAGONJWA MBALI MBALI ZINA VIRUTUBISHO VINAYOKINGA MARADHI YA MOYO PAMOJA NA INI
■MBEGU ZA MABOGA HUFANYA KAZI MWILINI KUKINGA NA KUTIBU PAMOJA NA KUIMARISHA MISHIPA YA NGUVU ZA KIUME.
■UIMARISHAJI KINGA MWILINI PAMOJA NA UKUWAJI WA SELI PAMOJA NA UGONJWA WA NGOZI NA MACHO VITAMIN ZINKI HUFANYA KAZI KUBWA MWILINI.
■HUSAIDIA KWA WALE WENYE TATIZO LA KUKOSA USINGIZI NI VYEMA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA PALE UNAPOTAKA KUJIPUMZISHA.
MATUMIZI
-USAFI WA MBEGU ZA MABOGA NI MUHIMU
-UNAWEZA KUTUMIA BILA YA KUZIKAANGA AU HIVYO HIVYO ZISIWE NA MUDA MREFU
-NI MUHIMU KUTUMIA MBEGU HIZO ZINAWEZA KUKUSAIDIA MATATIZO YAKO
-PIA WAWEZA KULA BOGA KAMA BOGA ILA MBEGU ZAKE NDIZO ZENYE FAIDA ZAIDI
KWA WANAUME, Tunatoa mwongozo wa kurudisha nguvu za kiume, kuongeza uzalishwaji wa mbegu kiume, ni somo kamili utakalolifanya wewe mwenyewe na siyo kumeza dawa. Gharama ni Tsh 5,000/= tu
0622925000 whatsapp