Mtaalamu Mwelekezi wa masuala ya Jinsia,Utawala
Bora na Maendeleo kutoka LAND O’ LAKES Bibi. Margreth Henjewele akitoa
ufafanuzi kuhusu mradi wa uhamasishaji usawa wa kijinsia katika kilimo, uhakika
wa chakula na lishe leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Kimataifa la Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose Kingamkono.
Picha zote na: Frank Shija
|