Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana
na Makamu wa Pili wa Rais Mhe Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili Saateni
Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud,[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.
|