Ushirikiano baina ya Tanzania na Uturuki kuendelea kuimarika
Rais Dkt. John Pombe Joseph magufuli akisalimiana na
Mwakilishi kutoka Uturuki Bw, Ziya
Karahan wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Rais huyo leo jijin Dar es
Salaam. Mwenye tai nyekundu ni Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
|
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan akipeana mkono
na Mke wa Rais Dkt. Magufuli Mama Janeth Magufuli leo jijini Dar es Salaam.
|
Baadhi ya wageni waalikwa katika dhifa ya chakula
cha jioni kwa ajili ya kumuaga Rais wa Uturuki
Recep Tayyip Erdogan leo jijini Dar es Salaam.
|