Serikali Yawawezesha Watumishi wa Umma zaidi ya 2000 Kumiki nyumba Bora.
Mkurugenzi Msaidizi Mikopo ya Nyumba,Wizara ya Ardhi
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi Lucy Kabyemera akifafanua kwa waandishi wa
habari kuhusu faida wanazopata watumishi wa Umma kutokana na mikopo inayotolewa
na Serikali ili kuwawezesha kumiliki makazi bora. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Nyumba Wizara
ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Michael Mwalukasa.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Leo Jijini Dar es salaam.
(Picha na Frank Mvungi)