MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA.
Katika Karne ya
sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari wa nani zaidi
kwenye tasnia ya mapenzi, hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye
mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu, anashindwa kuvumilia
na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia
uchunguza wenye kina.
Tamaa! ni mbaya, kupenda sio vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na sio kutamani! Ili ujue ulipo penda ni sahihi au laa!. Unaweza kupenda ulipo tamaniwa shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani nk. Mwishowake huwa ni majuto.
Kumbuka umakini na msimamo katika mapenzi vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua) Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a “Zaydar” & Moses, utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni dhahabu!. Tunaomba support yako kwenye video hii ili iwafikie walengwa wetu! Asante.
https://www.youtube.com/ watch?v=YJgP3Zafkrg

https://www.youtube.com/