PICHA MCHEZO WA KARATE TARIME DC LUOGA ASEMA KILA MWEZI KABLA YA WIKI YA USAFI ITAKUWEPO SIKU YA MICHEZO.
MMOJA KATI YA WASHIRIKI KATIKA MCHEZO WA KARATE AKIONESHA UJUZI WAKE KATIKA UKUMBI WA KANGARA ANNEX MJINI TARIME AMBAPO MGENI RASMI ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIUOS LUOGA |
WATOTO WAKIONESHA VIPAJI VYAO KABLA YA MICHEZO |
MSHINDI AKITANGAZWA RASMI KATIKA MASHINDANO HAYO |
AIDHA MKUU WA WILAYA HUYO AMETUMIA FURSA HIYO KUSEMA KUWA KILA MWEZI KABLA YA WIKI YA USAFI ITAKUWEPO SIKU YA MAZOEZI AMBAYO ITASHIRIKISHA KILA MTU WAKIWEMO WATUMISHI WA SERIKALI, WAFANYABIASHARA,NA JAMII KWA UJUMLA ILI KUIJENGEA JAMII UKOMAVU KATIKA MICHEZO NA KULETA MAHUSIANO BORA.
PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA |
MAPAMBANO KATIKA UWANJA |