KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS PROF.FAUSTINE KAMUZORA AFANYA ZIARA NEMC



Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) Eng.Bonaventure Baya wakati alipofanya ziara katika Ofisi za Baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) Eng.Bonaventure Baya akiwasilisha Taarifa fupi kuhusu Baraza hilo linavyofanya kazi  kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora wakati alipofanya ziara katika Ofisi za Baraza hilo.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora akiuliza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) Eng.Bonaventure Baya wakati mara baada ya kukagua mazingira na ofisi za baraza hilo alipofanya ziara leo Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira leo Jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi leo Jijini Dar es Salaam.



Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora akisalimiana na wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) alipofanya ziara leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) Eng.Bonaventure Baya akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora juu ya taarifa mbalimbali za utendaji za baraza hilo.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof.Faustine Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti na wakuu wa Idara wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira(NEMC) mara baada ya kumaliza ziara yake katika ofisi za Baraza hilo.
Picha na Daudi Manongi
Powered by Blogger.