HIVI NDIVYO VINAVYOCHANGIA KUMALIZA NGUVU ZA KIUME
Tatizo
la wanaume kulalamika na kulalamikiwa kuishiwa nguvu au kutokuwa na
uwezo wa kushiriki tendo la ndoa limekuwa likiongezeka kila kukicha
kutokana na wanaume wengi kuendelea kuwa wabishi na kukumbatia tabia
zinazowafanya kuwamaliza nguvu.
Inasadikika kuwa kati ya wanaume 10 basi wanaume watatu hadi wanne wana tatizo la nguvu za kiume
Leo nakutajia vitu vitatu vinavyokumalizia nguvu za kiume na kama utapenda kujitibu na kumaliza tatizo hilo basi nakushauri kuwasiliana na mimi kupitia 0622925000 whatsapp ili nikupe mwongozo mzima wa kujitibu tatizo hilo bila madhara wala kumeza dawa yoyote.
Vifuatavyo ndivyo vinavyokumalizia uwezo wako wa kushiriki tendo la ndoa;
1. VYAKULA
Wanaume wengi tumegeukia ulaji mbovu wa vyakula hasa vitamu/vyenye sukari na vileo ambavyo kwa ndani vinakuwa na asili ya kichocheo cha oestrogen ambacho ni muhimu kwa akinamama, sasa unapokula chakula chenye kichocheo cha akinamama unategemea utakuwa mzuri kwenye tendo la ndoa?
2. MATUMIZI YA VIDONGE VYA KUONGEZA NGUVU
Wanaume wengi wanapojiona uwezo wao wa kushiriki tendo la ndoa umeshuka huanza tabia za kupita kwenye maduka ya dawa na kujinunulia dawa za kujiongezea hisia za kushiriki tendo au tunaita ku-boost, matokeo ya hizo dawa ni kukumalizia kabisa nguvu kidogo ulizokuwa nazo na hatimaye unakuwa tegemezi kabisa wa hivyo vidonge kwani hautoweza tena kushiriki tendo bila kumeza hizo dawa
3. KUJICHUA/MASTURBATION
Hili ni janga la vijana na hata watu wazima, zaidi ya nusu ya vijana wamepitia tabia hii au bado wanajihusisha na mtindo huu wa kujistarehesha au wanaita “SELFIE”, Hii ndiyo hatari kabisa kwani matokeo yake mishipa ya uume huwa dhaifu na uume huzidi kuwa mdogo na dhoofu zaidi, hii husababisha mwanaume kumaliza mapema pindi tu anapoanza kushiriki tendo la ndoa au uume kusinyaa pindi tu akigusa sehemu za mwanamke.
4. Magonjwa ya Kisukari na Kiharusi.
Wagonjwa wengi wa Kisukari na Kiharusi wamekuwa na tatizo la kupungikiwa au kuishiwa nguvu za kiume.
Kwa leo tunaishia hapo ila vitu ni vingi sana vinavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume kama kupatwa na ajali, maumivu makali ya mgongo na kiuno n.k. Ungana nasi katika program ya kupambana na upungufu wa nguvu za kiume kwa gharama ya Tsh 5,000/= tu. Program hii haitumii dawa yoyote isipokuwa ni kukupa mwongozo wa namna gani ufanye na hatimaye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume litabaki kuwa historia kwako. Ni njia salama na ndiyo tunayoitumia kwa sasa badala ya kumeza dawa kwa gharama kubwa.
Pia wagonjwa wa Kisukari tunatoa mwongozo wa kupunguza na kuweka vizuri mwili wako ili kuepuka adha zote za Kisukari. Mwongozo huu utakusaidia kuwa na Afya nzuri na hutohangaika na tatizo la Sukari.
-Sanjari na hilo, watu wenye uzito mkubwa, vitambi/tumbo kubwa na nyamazembe pia tunawapatia mwongozo wa kupunguza hivyo vitu, mwongozo huo utakapoufuata utabadili mwili wako na kuwa mashine ya kuunguza mafuta na hivyo kitambi kitaisha na uzito wako utapungua. Huduma hii pamoja na mwongozo wa Kisukari utavipata kwa gharama ya Tsh 10,000/=
Unaweza ku-like page yetu facebook kona ya afya kupitia mimea na uka-share zaidi makala hii ili iwafikie watu wengi zaidi
KWA HISANI YA MTANDAO