Breaking News!! MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2016 YAMETANGAZWA...TAZAMA MAJINA HAPA
Baraza
la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne
mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53%
mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016.
Katibu
Mtendaji wa baraza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi
408,372 waliofanya mtihani, jumla ya wanafunzi 277,283 wamefaulu,
wakiwemo wasichana 135,859 sawa na asilimia 67.06 na wavulana 141,424
sawa na asilimia 73.26.
Kwa
upande wa watahiniwa wa shule, Dkt Msonde amesema kuwa 244,762 sawa na
asilimia 70.35 ya waliofanya matihani wamefaulu ikilinganishwa na
wanafunzi 240,996 sawa na asilimia 67.91 waliofaulu mwaka 2015.
Kwa
upande wa ubora wa ufaulu, amesema watahiniwa wa shule wenye ufaulu
mzuri wa Daraja la kwanza hadi la tatu ni 96,018 sawa na asilimia 27.60