ANGALIA PICHA ZA MATUKIO VIJANA 237 WALIOFANYIWA TOHARA SALAMA KUTOKA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA YA TARIME MKUU WA WILAYA AFUNGA KAMBI RASMI.

MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKISOMA UJUMBE BAADA YA KUPOKELEWA NA VIJANA AMBAO WAMEFANYIWA TOHARA SALAMA KATIKA ASASI YA TaSaCi KANISA ROMAN CATHOLIC PAROKIA SIRARI JIMBO LA MUSOMA AMBAO ZAIDI YA VIJANA 237 WAMEFANYIWA TOHARA SALAMA NA KUFUNGWA RASMI HII LEO.


AKISOMA MABANGO
WATOTO WALIOFANYIWA TOHARA SALAMA

WAZAZI NA WALEZI WA WATOTO HAO WALIOFANYIWA TOARA SALAMA

FATHER ERNEST KAMUGISHA MKURUGENZI WA TaSaCi AKIONGEA KATIKA KUFUNGA KAMBI HIYO AMBAPO AMEZIDI KUOMBA JAMII KUONDOKANA NA MILA POTOFU ILI KUWAPA HAKI WATOTO WA KIKE NA KIUME
WATOTO WAKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA

MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKITOA NENO KATIKA KUFUNGA KAMBI HIYO HII LEO


VIJANA WAKIKABIDHIWA VYETI BAADA YA KAMBI HIYO

Powered by Blogger.