SINGITA GRUMETI FUND WAKABIDHI MADAWATI 500 KWA MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA ILI KUUNGA JUHUDI ZA SERIKALI YA TANO NI HIVI KARIBUNI.
| MKUU WA MKOA WA MARA AKISALIMIA BAADHI YA VIONGOZI |
| KATIBU TAWALA WILAYA YA SERENGETI COSMAS QAMARA AKITAMBUKISHA WAGENI. |
| MKUU WA WILAYA YA SERENGETI NURDIN BABU AKIONGEA NA WANANCHI KABLA YA KUKABIDHIWA MADAWATI HAYO. |
| MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKITETA JAMBO NA MKUU WA WILAYA YA BUNDA LYDIA BUPILIPILI |
| KIKUNDICHA NGOMA YA ASILI |
| MADAWATI YALIYOTLEWA NA SINGITA GRUMETI |
| MWAKILISHI WA SINGITA GRUMETI FUND RICHARD NDASKOI AKITOA TAARIFA KWA MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA KULIA KABLA YAKUKABIDHI MADAWATI 500 KWA AJILI YA WILAYA YA SERENGETI NA BUNDA |
| MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI JUMA PORINI AKIONGEA KATIKA MAKABIDHIANO HAYO |
| MKUU WA WILAYA YA BUNDA LYDIA BUPILIPILI AKIONGEA JAMBO KABLA YA KUKABOIDHIWA MADAWATI 250 NA MKUU WA MKOA WA MARA KUSHOTO KWAKE |
| MKUU WA WILAYA YA SERENGETI NURDIN BABU AKIONGEA KABLA YA KUKABIDHIWA MADAWATI 250 NA MKUU WA MKOA WA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA NA SINGITA GRUMETI FUND MADAWATI 500 |
| MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKIMPONGEZA RICHARD NDASKOI KUTOKA SINGITA GRUMETI BAADA YA KUKABIDHIWA MADAWATI 500 |
| MKUU WA MKOA WA MARA AKITOA SHKRANI KWA MKURUGENZI WA SINGITA GRUMETI FUND STEPHEN CUNLIFFE BAADA YA KUPOKEA MADAWATI 500 KUTOKA KATIKA KAMPUNI HIYO ILIYOPO WILAYANI SERENGETI MKOANI MARA |
| MKUU WA MKOA WA MARA AKIKABIDHI RASMI MADAWATI 250 KWA MKUU WA WILAYA YA SERENGETI NURDIN BABU WA KWANZA KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA BUNDA LYDIA BUPILIPILI. |
| MKUU WA MKOA WA MARA AKIKABIDHI RASMI MADAWATI 250 MKUU WA WILAYA YA BUNDA LYDIA BUPILIPILI |
| MKUU WA WILAYA YA SRENGETI NURDIN BABU AKIKABIDHI RASMI MADAWATI HAYO KWA MKURUGENZI HALMASHAURI YA SERENGETI JUMA HAMSINI |
| MKUU WA WWILAYA YA BUNDA KULIA LYDIA BUPILIPILI AKIKABIDHI RASMI MADAWATI KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA BUNDA JULIRTH NTUKU |
| MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MARA MRPC MUGINI JACOBO AKIONGEA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA SINGITA GRUMETI FUND STEPHEN CUNLIFFE |
| NYUMBA YA MWALIMU ILIYOJENSINGITI GRUMET FUND. |
| MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA AKIKATA UTEPE KATIKA NYUMBA HIYO |
| MKUU WA MKOA AKIMPONGEZA MKURUGENZI WA SINGITA GRUMETI FUND |
| PICHA YA PAMOJA |
| MADAWATI |
| MMILIKI WA BLOG HII AKIWA KAZINI WILAYANI SERENGETI MKOANI MARA |
| WANAFUNZI WAKIWA KATIKA MADAWATI YALIYOKABIDHIWA HIVI KARIBUNI |