Rais
John Magufuli ametangaza kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi TRA, Berbard Mchomvu. Pia ameivunja bodi nzima ya TRA.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu
haijaeleza sababu za kufanya hivyo bali imefafanua kwamba uteuzi wa
Mwenyekiti mwingine utatangazwa hapo baadaye.