BENKI YA DTB YAZINDUA TAWI JIJINI DAR ES SALAAM.
Mstahiki Meya wa
Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta, akikata utepe katika uzinduzi
wa tawi jipya la Benki ya Diamond Trust lililopo barabara ya Mwai
Kibaki, Mbezi Chini Jijini Dar es salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji
wa benki hiyo Viju Cherian na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Fedha
Joseph Mabusi na Meneja wa Tawi hilo Msingo Kimune wakishuhudia. Tawi
hilo ni tawi la 12 jijini Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini
Tanzania.
Na Imma Mbuguni
Mstahiki Meya wa
Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta akiongea na wageni waalikwa
kwenye uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Diamond Trust lililopo
barabara ya Mwai Kibaki, Mbezi Chini jijini Dar es salaam, Tawi hilo ni
tawi la 12 jijini Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini Tanzania.

