ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA KUTEKETEZA MASHAMBA YA BANGI HEKALI 30 CHINI YA USIMAMIZI WA MKUU WA WILAYA YA TARIME MKOANI MARA
MKUU WA WILYA AKIPITA KWENYE DARAJA ILI KUFIKIA ENEO LA BANGI TAYARI KUTEKETEZA |
MAZOEZI BAADA YA KAZI |
BANGI IKITEKETEZWA KWA MOTO |
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIONESHWA BAADHI YA MBEGU ZILIZOKAMATWA |
MRAKIBU WA POLISI TARIME RORYA NEMES KAPUFI AKICHUKUA MAELEZO MMOJA WA WANANCHI |
DC AKIFYEKA MOJA YA SHAMBA LA BANGI |