MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AFUNGUA STENDI MPYA YA MABASI


MKUU WA WILAYA AKITETA JAMBO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MARA MRPC MUGIN JACOB BAADA YA KUFUNGUA RASMI STENDI HIYO.
PICHA YA PAMOJA.
MKUU WA WILAYA YA TARIME MKOANI MARA GLORIOUS LUOGA AKIONGEA NA WANANCHI BAADA YA KUFUNGUA RASMI STENDI YA NGERENGERE SIRARI.
KULIA NI MKURUGENZI MPYA WA HALAMASHAURI YA WILAYA YA TARIME APOO CASTRO TINDWA AKIONGEA NA WANACHI BAADA YA KUFUNGULIWA RASMI STENDI HIYO


MKUU WA WILAYA AKIFUNGUA STENDI HIYO

MABASI YAKIWA KATIKA ENEO LA STENDI MPYA YA NGERENGERE ILIYOFUNGULIWA HII LEO NA MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA


MKUU WA WILAYA AKIKAGUA BAADHI YA MAENEO KABLA YA KUFUNGUA STENDI HIYO.
Powered by Blogger.