MBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI ATEMBELEA SHULE YA NYAGISESE AKUTA CHANGAMOTO YA DARASA MOJA KUTUMIWA MADARASA MAWILI TOFAUTI KATIKA UFUNDISHAJI
MBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI MATIKO AKITEMBELEA SHULE YA MSINGI NYAGISESE HALMASHAURI YA MJI WA TARIME |
MBUNGE AKIONGEA NA MWALIMU MKUU SHULE YA MSINGI NYAGISESE ISAK |
MBUNGE AKIKAGUA BAADHI YA MABOMA YALIYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANACHI. |
MBUNGE AKIANGALIA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI NYAGISESE |
DIWANI WA KATA YA NYANDOTO CCM FRED SABEGA AKIONESHA MBUNGE SHIMO AMBALO NI HATARISHI KWA WANAFUNZI MVUA ZIKIANZA KUNYESHA |
MBUNGE AKITOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WATANO WALIOFANYA VIZURI KATIKA SHULE YA MSINGI NYAGISESE |
PICHA YA PAMOJA WANAFUNZI WAKIONESHA ZAWADI WALIYOPEWA NA MBUNGE |
MBUNGE AKIONGEA NA WALIMU NA KAMATI YA SHULE |