ANGALIA PICHA ZA MBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI MATIKO AKIONGEA UMOJA WA WALIMU SHULE ZA MSINGI KEMAIRI NA MAGENA NA KUCHANGIA LAKI TANO KWA AJILI YA UMOJA HUO.

MBUNGE AKIONGEA NA KIKUNDI CHA UMOJA WA WALIMU KATIKA SHULE YA MSINGI MAGENA NA KEMAIRI
MWENYEKITI WA KIKUNDI CHA UMOJA WA WALIMU UWASHUMAKE LAURENCE SAO KUSHOTO AKITOA CHANGAMOTO ZAO KULIA KWAKE NI MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI MATIKO.
MBUNGEA AKIONGEA NA UMOJA HUO WA WALIMU.
KATIBU WA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI PETER MAGWI AKIONGEA NA UMOJA HUO WA WALIMU

MIFUKO KUMI YA SARUJI ILIYOTOLEWA NA MBUNGE MATIKO KATIKA HULE YA MSINGI KEMAIRI

MBUNGE AKIKABIDHI KAMATI YA SHULE YA KEMAIRI MIFUKO KUMI YA SARUJI JANA

Powered by Blogger.