ANGALIA PICHA ZA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA ALIPOMBELEA BAADHI YA KATA KWA AJILI YA KUTATUA MIGOGORO PAMOJA NA MIPAKA BAINA YA KATA NA KATA
MKUU WA WILAYA AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA KIKIAO CHA PAMOJA NA WANACHI WA KIJIJI CHA KOROTAMBE NA NYAKANGARA KATA YA MWEMA HII LEO |
WANANCHI |
WAZEE WA MILA |
MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGAAKIONGEA NA WANACHI WA KATA YA PEMBA NA NYAKONGA ILI KUTATUA MGOGORO WA MIPIKA HII LEO |
WANANCHI WA KATA YA PEMBA NA NYAKONGA WAKISIKILIZAMKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA. |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME APOO CASTRO AKIONGEA NA WANACHI WA KATA YA PE,MBA NA NYAKONGA. |
WANANCHI |
MKUU WA WILAYA AKIPITIA NYARAKA ZINAZOZUNGUMUZIA MIPAKA BAINA YA TARAFA NA TARAFA KATA NA KATA |
MMOJA WA WANANCHI AKITOA MAWAZO YAKE JUU YA MIGOGORO YA MIPAKA |
MKUU WA WILAYA AKITETA JAMBO NA DIWANI WA KATA YA NYANUNGU KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA KIJIJI CHA MANGUCHA KATA YA NYANUNGU. |
WANACHI WA KIJIJI CHA MANGUCHA KATA YA NYANUNGU |
MMOJA WA MWENYEKITI WA KITONGOJI KATIKA MKUTANO WA AKICHANGIA HOJA |
MKUU WA WILAYA AKIONGEA NA DIWANI WA KATA YA KEMAMBO RASHID BUGOMBA KATIKA MKUTANO WA HADHARA KWA AJILI YA KUTATUA MGOGORO BAINA YA ZAHANATI YA KIJIJI CHA KERENDE NA WANACHI AMBAPO AMETOA SIKU 30 |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA APOO AKISAINI KATIKA KATABU CHA WAGENI KKIJIJI CHA KERENDE |