ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI MKUU WA WILAYA AKIENDESHA ZOEZI LA KUFYEJKA BANGI NA KUTEKETEZA KWA MOTO KATIKA KIJIJI CHA WEIGITA KATA YA KIBASUKA WILAYANI TARIME MKOANI MARA

MKUU WA WILAYA YA TARIME AKIENDELEZA NA ZOEZI LA KUTEKETEZA BANGI KATIKA KIJIJI CHA WEIGITA KATA YA KIBASUKA WILAYANI TARIME MKOANI MARA

Add caption
MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIONGEA NA KIKOSI KAZI BAADA YA ZOEZI ZIMA
KIKOSI KAZI BAADA YA KAZI

 
 
MKURUGENZI WA WILAYA YA TARIME APOO CASTRO KULIA AKITEKETEZA BANGI
MOJA YA MZEE ANAYEJISHUGULISHA NA KILIMO HICHO BAADA YA KUKAMATWA NA MZIGO WA BANGI KAVU.
MOTO UKITEKETEZA BANGI BAADA YA KUFYEKWA


BAADHI YA MFUGO ULIOKUTWA KWENYE MAFICHO KATIKA OPERASHENI HIYO
KIKOSI KAZI
WAKIPANDA MILIMA INAYOLIMWA BANGI KIJIJI CHA WEIGITA KATA YA KIBASUKA WILAYANI TARIME MKOANI MARA
Powered by Blogger.