ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI JINSI MWENGE WA UHURU ULIPOPOKELEWA JANA NA KUKIMBIZWA WILAYANI TARIME HUKU UKIZINDUA MIRADI YA SHILINGI MILLIONI 600.

MKUU wa Wilaya ya Rorya,Simon Chacha,(kulia)akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa Wilaya ya Tarime tayari kwa kukimbizwa wilayani humo ambapo miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 600 imezinduliwa sanjari na kufungua klabu za wapinga Rushwa kwenye shule za sekondari Manga na Rebu na kuteketezwa kwa magunia 10 ya bangi ambapo kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa,George Jackson Mbijima,amesifu serikali wilayani Tarime kupitia mkuu wa wilaya kwa juhudi zake za kupambana na dawa za kulevya hususani kilimo cha bangi.

MKURUGENZI WA RORYA CHARLES CHACHA AKIRUKA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA LATIKA VIWANJA VYA GACHUMA JANA KABLA YA KUPOKEA MWENGE KUTOKA WILAYA YA RORYA MKOANI MARA.

MWENGE ULIPOREJEA MPAKA WA WILAYA YA TARIME NA RORYA.
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIKABIDHIWA RASMI MWENGE WA UHURU NA MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHA JANA KWA AJILI YA KUKAGUA MIRADI.

PICHA YA PAMOJA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA KATIKATI NA VIONGOZI WA WAKIMBIZA MWENGE KITAIFA WA TATU KUTOKA KULIA NI KIONGOZI MKUU KITAIFA GEORGE JACKSON

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA GEORGE JACKSON AKITEKETEZA MADAWA YA KULEVYA BANGI




MAGUNIA YA BANGI KABLA YA KUTEKETEZWA
KINGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIONGEA NA WAKAZI WA TARIME KUSHOTO NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME APOO CASTRO WA KWANZA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA
ZAWADI ZIKIGAWIWA BAADA YA LIGI YA MWENGE CUP KUMALIZIKA VYEMA ILIYOANDALIWA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA KULIA NI MKUU WA WILAYA HUYO.

Powered by Blogger.