ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KWENYE MBIO ZA MWENGE WILAYANI RORYA MKOANI MARA.
| MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHA AKIKABIDHIWA MWENGE WA UHURU BAADA YA KUTOKA MANISPAA YA MUSOMA. |
| VIKUNDI VYA BURUDANI VIKITUMBUIZA WAKATI WA KUPOKEA MWENGE MAENEO YA KINESI |
| UJUMBE WA MWENGE MWAKA 2016 |
| NGOMA ZA ASILI |
| VIONGOZI WA WILAYA YA RORYA IKIWEMO KAMATI YA ULINZI NA USALA WAKIJIANDAA KUPOKEA MWENGE |
| MWENGE WA UHURU KIREJEA KATIKA VIWANJA VYA KINESI KWA AJILI YA KUKABIDHIWA RASMI WILAYA YA RORYA ILI KUKAGUA NA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO. |
| MKUU WA WILAYA YA MUSOMA MJINI AKIAGA MWENGE KWA AJILI YA KUKABIDHI KWA MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHA. |
| MKUU WA WILAYA YA RORYA SIMON CHACHAAKIPOKEA RASMI MWENGE HUO. |
| MKURUGENZI WA HALAMASHAURI YA WILAYA YA RORYA CHARLES CHACHA AKIPOKEA MWENGE WA UHURU |
| MWENYEKITI WA CCM WILAYANI RORYA SAMWEL KIBOYE NO3 AKIPOKEA MWENGE WA UHURU |
| KATIBUNWA CCM RORYA LUCY AKIPOKEA MWENGE WA UHURU |
| KIONGOZI WA MBIO A MWENGE KITAIFA GEORGE JACKSON AKIKONGEA NA WANA KIKUNDI CHA USHONAJI NGUO KINESI |
| MWENGE UKIWA KATIKA SHULE YA MSINGI NYAMAGUKU WILAYANI RORYA KWA AJILI YA KUZINDULIWA RASMI |
| KINGOZI WA MBIO ZAMWENGE KITAIFA AKIONGEA NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NYAMAGUKU BAADA YA KUZINDUA RASMI |
| KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIKATA UTEPE KATIKA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KISUMWA |
| MAJI YAKITOKA |
| AKINYANYA NDOO |
| AKIMUTWISHA MAJI MMOJA WA WANACHI BAADA YA KUZINDUA RASMI MRADI. |
| SHULE YA SEKONDARI NYANTHOROGO |
| MKUU WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA GEORGE JACKSON AKIZINDUA MADARASA MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYANTHOROGO. |
| WANACHI WAKIPUNGIA MKONO MWENGE WA UHURU BAADA YA KUFIKA KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI CHERECHE |
| SHMBA LA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MPUNGA CHERECHE WILAYANI RORYA |
| KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIPANDA MTI KATIKA VYANZO VYA MAJI CHERECHE |
| NYAVU HALAMU ZILIZOKAMATWA KABLA YA KUCHOMWA |
| KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKITEKETEZA BANGI PAMOJA NA ZANA HALAMU ZA UVUVI KATIKA KITUO CHA POLISI UTEGI |