MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKIKABIDHI KOMPYUTA MOJA KATIKA OFISI YA CHAMA CHA WATU WENYE UALBINO MBUNGE AKISAINI KATIKA KITABU CHA WAGENI OFISI YA WATU WENYE UALBINO TARIME MBUNGE AKIONGEA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WATU WENYE UALBINO TARIME JOSEPH SINDA PICHA YA PAMOJA