ANGALIA PICHA ZA MATUKIO KATIKA HARAMBEE KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI YA WAADVENTISTA WASABATO JIMBO LA MARA
MBUNGE WA JIMBO LATARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKITETA JAMBO NA MBUNGE WA TARIME MJINI ESTHER MATIKO |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKAKANISA LA WASABATO BLASIOUS RUGURI |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI AKISALIMIA WAUMINI WA KANISA LAWAADVENTISTA WASABATO TARME MJINI |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKAKANISA LA WASABATO BLASIOUS RUGURI. |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKISALIMIA WAUMINI |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO CHADEMA AKASLIMIANA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYANI RORYA SAMWEL KIBOYE |