ANGALIA PICHA ZAMATUKIO KATIKA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI KANISA LA WASABATO SABASABA MJINI TARIME MKOANI MARA
MWENYEKITI WA DIVISHEN MASHARIKI MWA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WASABATO BLASIOUS RUGULI AKIPANDA MTI KATIKA KANISA YA WAADVENTISTA WASABATO KANISA LA SABASABAMJINI TARIME |
BAADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO SABASABA MJINI TARIME |
AKIMWAGILIZIA MAJI MTI BAADA YA KUPANDA KWA AJILI YA KUMBUKUMBU. |
WA KWANZA KULIA NI DIWANI WA KATA YA NKENDE DANIEL KOMOTE NA WA PILI KUTOKA KUSHOTO NI MWENYEKITI WACCM RORYA SAMWEL KIBOYE WAKIWA KATIKA IBADA KWENYE KANISA LA WASABATO SABASABA. |
WAUMINI NA WANAKWAYA |
MWENYEKITI WA DIVISHEN MASHARIKI MWA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WASABATO BLASIOUS RUGULI AKITOA NENO LA BWANA KATIKA KANISA LA SABASABA. |