ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIIKA ZIARA YA MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO

 MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA  KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO BLASIOUS RUGURI AKITOA NENO LA BWANA KATIKA KANISA LA TARIME MJINI LA WASABATO




 MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA  KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO ALIPOKUWA AKIREJEA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA WASABATO SABASABA WILAYANI TARIME MKOANI MARA KWA AJILI YA KUWEKA JIWE LA MSINGI HII LEO.

 MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA  KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO BLASIOUS RUGURIAKIONGEA NA WAUMINI WA KANISA LA WASABATO SABASABA MJINI TARIME
 MWENYEKITI WA DIVISHENI MASHARIKI NA KATI MWA AFRIKA  KANISA LA WA ADVENTISTA WASABATO BLASIOUS RUGURI AKIKATA UTEPE KABLA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO SABASABA MJINI TARIME MKOANI MARA.
Powered by Blogger.