ANGALIA PICHA ZA UZINDUZI WA MRADI WA SHIRIKA LA CDF JUU YA KUKUSANYA NGUVU ZA PAMOJA KULINDA NA KUTETEAHAKI ZA WASICHANA

WASHIRIKI KATIKA UZINDUZI HUO WAKIANGALIA FILAMU YA GHATI NA RHOBI
BAADHI YA WAZEE WA MILA KUTOKA KOO 13 ZA KIKURYA WILAYANI TARIME MKOANI MARA
KAMBIBI KAMUGISHA KUTOKA CDF AKIELEZEA MRADI ULIVYOANZA KUTEKELEZWA KATIKA WILAYA YA TARIME.
LEVINA SAMWEL KUTOKA RORYA GIRLS NETWORKFROM CDF AKIELEZA JINSI ALIVYONUFAIKA NA SHIRIKA LA CDF
LUCIA MANYAMA KUTOKA ETARO CLUB KUTOKA UMATI MUSOMA AKIELEZA JINSI ALIVYONUFAIKA NA SHIRIKA HILO.
LOVENESS ENOCK KUTOKA PASIANSI CLUB WADADA CENTRE AKIELEZA JINSI ANAVYONUFAIKA NA SHIRIKA HILO
PICHA YA KATIBU TAWALA WILAYANI TARIME MKOANI MARA JOHN MARWA KWA NIABA YAMKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA MRADI WA KUKUSANYA NGUVU ZA PAMOJAKULINDANA KUTETEA HAKI ZA WASICHANA.
PICHA YA PAMOJA NA WAZEE WA MILA BAADA YA KUZINDUA MRADI HUO JANA KATIKA UKUMBI WA BLUE SKY MJINI TARIME MKOANI MARA.
KUSHOTO NI MKUU WA PROGRAM KUTOKA SHIRIKA LISILOKUWA LA KISERIKALI JUKWAA LA UTU WA MTOTO CDF CYNTHIA MUSHI KWA NIABA YA MKURUGENZI WA SHIRIKA HILO KOSHUMA MTENGETI AKIZUNGUMZIA LENGO LA MRADI HUO ANAYEFUATA NI ANITHA SAMSON KUTOKA SHIRIKA LA WADADA CENTRE LILILOPO MWANZA AKIFUATIAWA KATIBU TAWALA ILAYA YA TARIME NA WA PILI KUTOKA KULIA NI AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA YA TARIME VICTOR KABUJE.
AFISA MAENDELEO YA JAMII  WILAYA YA TARIME VICTOR KABUJE KWA NIABA YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME ATHUMAN AKALAMA AKITOA NENO KATIKA UZINDUZI HUO.
WASHIRIKI WAKIWEMO VIONGOZI WA DINI.


SOPHIA TEMBA KUTOKA SHIRIKALA CDF AKELEZEA BAADHI YA MASHIRIKA YANAYOENDA KUTEKELEZA MRADI HUO LIKIWEMO SHIRIKA LA CDF, WADADA CENTRE MWANZA NA UMATI LILILOPO MUSOMA.
SOPHIA TEMBA AKIFAFANUA JUU YA FILAMU YENYE KUFIKISHA UJUMBE KWA JAMII KWA NJIA YA KATUNI YA GHATI NA RHOBI AMBAYO ILIZINDULIWA HIVI KARIBUNI.

PICHA YA PAMOJA KWA WASHIRIKI KATIKA UZINDUZI HUO.
WAKWANZA KUSHOTO NI CYNTHIA MUSHI  KUTOKA SHIRIKA LA JUKWAA LA UTU WA MTOTO CDF KATIKATI NI MWANASHERIA WA SHIRIKA LA WADADA CENTRE MWANZA AMBAYE PIA NI MRATIBU WA MRADI WAKWANZ AKULIA NI  BARNABAS RICHARD KUTOKA SHIRIKA LA UMATI MUSOMA.
Powered by Blogger.