ANGALIA PICHA ZA SOKA LA WANAWAKE TARIME CDF, PLAN INTERNATIONAL TOKOMEZA UKEKETAJI.
PICHA YA MENEJA WA SHIRIKA LA PLAN INTERNATIONAL MWANZA BARAKA MGOHAMWENDE AKIONGEA NA WAKAZI WA TARIME NA WADAU WA SOKKA BAADA YA MICHUANO HIYO. |
TIMU YA TARIME QUEENS WAKITOKA UWANJANI BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA KWA KUILAZA SIRARI QUEENS BAO 3-1 KUPITIA MIKWAJU YA PENALITI. |
SIRARI QUEENS FC |
KATIBU WA CHAMA CHA MPIRA WILAYANI TARIME MKOANI MARA(TAFA) SIRELIA MALAI AKISALIMIA WACHEZAJI TIMU YA TARIME QUEENS. |
MENEJA WA SHIRIKA LA PLAN INTERNATIONAL MWANZA BARAKA MGOHAMWENDE AKISALIMIANA NA WACHEZAJI . |
PICHA YA PAMOJA WACHEZAJI TIMU YA TARIME QUEENS NJANO NA SIRARI QUEENS BLEU |
MEJEJA PLAN INTERNATIONLA AKIKABIDHI KAPTEN WA TIMU YA SIRARI ZAWADI YA SHILINGI ELFU HAMSINI. |
KAPTEN WA TIMU YA TARIME QUEENS AKISALIMIANA NA MENEJA PALN BAADA YA KUOKEA ZAWADI YA SHILINGI LAKI MOJA. |
WACHEZAJI WAKICHEZA MUSIC BAADA YA KUNYAKUA USHINDI KATIKA VIWANJA VYA SHAMBA LA BIBI SERENGETI MJINI TARIME. |
WADAU WA SOKA WAKIANGALIA SOKA KATIKA VIWANJA VYA SERENGETI MJINI TARIME. |
MASHABIKI WA SOKA WAKISHANGILIA |
KAPTEN W NYAMONGO FC AKIONESHA ZAWADI YA SHILINGI ELFU HAMSINI BAADA YA KUIBUKA WASHINDI WA PILI. |