ANGALIA PICHA ZA MKUU WA MKOA WA MARA KATIKA ZIARA YAKE YA KAWAIDA WILAYANI TARIME MKOANI MARA
MSEMAJI WA MGODI WA ACACIA ABEL YIGA AKIFAFANUA JAMBO KWA MKUU WA MKOA WA MARA DKT CHARLES MLINGWA KATIKA ENEO NYUMBA ZA TEGESHA ZILIPOKUWA NA KUVUNJWA HIVI KARIBUNI. |
MKUU WA MKOA WA MARA AKIPOKELEWA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME JANA. |
MKUU WA MKOA AKISALIMIA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA |
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKITOA TAARIFA MBELE YA MKUU WA MKOA WA MARA KATIIKA OFISI ZAKE. |
MSEMAJI WA MGODI WA ACACIA ABEL YIGA AKISALIMIANA NA MKUU WA MKOA WA MARA CHARLES MLINGWA JANA |
MKUU WA MKOA WA MARA AKIONGEA NA WANACHI WA NYAMONGO. |
MWENYEKI WA CCM WILAYA YA TARIME NA DIWANI WA KATA YA KEMAMBO RASHID BUGOMBA AKITOA USHAURI JUU YA MWEKEZAJI HUKU AKIZUNGUMZIA SUALA ZIMA LA AMANI. |
BAADHI YA NYUMBA ZATEGESHA NYAMONGO |
MACHIMBO YA CHINI KWA CHINI. |
MULIPUKO WA MGODI |
MKUU WA MKOA AKIWA NA WATAALAMU WAKIANGALIA JINSI GANI SUGHULI ZA MGODI ZINAVYOFANYIKA. |
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIONGEA NA WANAFUNZI WA SHULE YA WASICHANA BOREGA |
MKUU WA MKOA AKITOA MAAGIZO JUU YA KUBORESHWA KWA SHULE YA WASICHANA BOREGA |
MKUU WA MKOA AKISALIMIANA NA WATUMISHI WA KITUO CHA FORODHANI SIRARI |
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKISISITIZA JAMBO KWA WATUMISHI WA IDARA TOFAUTI KATIKA OFISI ZA KITUO CHA FORODHANI MPANI MWA NCHI YA TANZANIA NA KENYA SIRARI |