ANGALIA PICHA ZA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI MATIKO AKIKABIDHI TV KATIKA KIJIWE CHA KAHAWA
NI MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKIKABIDHI TV KATIKA KIJIWE CHA KUUZIA KAHAWA MKABARA NA NMB TARIME MARA |
MBUNGE AKIKABIDHI RASMI TV HIYO |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKINYWA KAHAWA KATIKA ENEO LA KIJIWE CHA KUUZA KAHAWA. |
MBUNGE AKIONGEA NA WANANCHI WAKE KATIKA KIJIWE CH KAHAWA KABLA YA KUKABIDHI TV |
MMOJA WA KIONGOZI WA KIJIWE HICHO AKITOA SUKRANI KWA NIABA. |
MJUMBE WA MKUTANO MKUU CADEMA TAIFA AMBAYE PIA NI DIWANI WA VITI MAALUMU KATA YA NYANDOTO MAMA TEKRA JOANES AKIONGEA NA WANACHI KATIKA KIJIWE HICHO |
MBUNGE AKISALIMIANA NA MMOJA WA WANANCHI BAADA YA KUKABIDHI TV HIYO. |
MBUNGE AKISISITIZA JAMBO. |