ANGALIA PICHA ZA DC TARIME LUOGA ALIVYOTEKETEZA MASHAMBA YA BANGI KIJIJI CHA NYARWANA KATA YA KIBASUKA WILAYANI TARIME MKOANI MARA.
MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKITEKETEZA MAGUNIA 23 YA BANGI YALIYOKUTWA KATIKA NYUMBA YA MTU MMOJA. |
SHAMBA LA BANGI KABLA HALIJAFYEKWA. |
MAGUNIA 23 YA BHANGI YALIYOKUTWA KATIKA NYUMBA YA MTU MMOJA ANAYELIMA ZAO HILO HALAMU. |
MKUU WA WILAYA HUYO AKIANGALIA WATAALAMU WAKIPIMA UZITO WA MAGUNIA YA BANGI AMBAYO TAYARI IMEVUNWA SHAMBANI. |
KATIBU TAWALA WA TARAFA YA INCHAGE JONATHAN MACHANGO AKIWASHA MOTO ILI KUTEKETEZA ZAO HILO |
MMOJA WA ASKARI AKIAANDAA MOTO ILI KUTEKETEZA MAGUNIA 23 YA BHANGI |
BHANGI ZIKITEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUFYEKWA SHAMBANI ZAIDI YA HEKA 3 |