ANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA LEO KATIKA MSIKITI WA IJUMAA BAKWATA KATIKA HARAMBEE.

MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIMWAGA SHEIKH WA WILAYA YA TARIME BADA YA CHANGIZO LA HARAMBEE.
WAKISWALI
WAUMINI WAKICHANGIA HARAMBEE
HAKIMU WA WILAYA YA TARIME MARTHA MPAZE KATIKA HARAMBEE HIYO.
MIFUKO 30 YA SARUJI ILIYOTOLEWA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME KATIKA HARAMBEE HIYO NA BATI50
MWENYEKITI WA CCM RORYA SAMWEL KIBOYE AKISALIM WAISLAMU KATIKA HARAMBEE AMBAPO ALIKUWA MGENI RASMI 

SHEIKH WA WILAYA YA TARIME ABDUL HAKIM MURISHO SOUD AKISALIMIANA NA MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA.


 
MKUU WA WILAYA YA TARIME AKITETA JAMBO NA OCD KITUO CHA POLISI MJINI TARIME.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYANI RORYA SAMWEL KIBOYE AKITETA JAMBO NA MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA.

MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIONGEA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU HII LEO KATIKA HARAMBEE BAADA YA IBADA YA IDD KATIKA MSIKITI WA BAKWATA MJINI TARIME MKOANI MARA.
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME HAMIS NYANSWI AKISALIMU WAUMINI.
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME ATHUMAN AKALAMA AKISALIMU WAUMINI.


WAUMINI WAKIWA MSIKITINI HII LEO.
SHEIKH WA WILA YA TAIME ABDUL HAKIMU MURISHO SOUD
 
  
Powered by Blogger.