ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKITATUA MGOGORO WA MPAKA BAINA YA KATA MBILI.

MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKISISITIZA JAMBO KATIKA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA MPAKA BAINA YA KATA YA KWIHANCHA NA KEMAMBO  KILICHOFANYIKA KIJIJI CHA MURITO KATA YA KEMAMBO.
MKUU WA WILAYA AKISAINI KITABU CHA WAGENI.
MKUU WA WILAYA AKIONGEA NA WAJUMBE KATIKA KIKAO HICHO HII LEO


KAIMU MKUU IDARA YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME MKOANI MARA BARABA NOVATI AKIFAFANUA JAMBO KATIKA KIKAO HICHO.

PICHA YA DIWANI WA KATA YA KEMAMBO AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA CCM WILAYANI TARIME RASHID BUGOMBA AKICHANGIA KATIKA KIKAO HICHO.
WAJUMBE KATIKA KIKAO HICHO.

Powered by Blogger.